View Gallery:

All Categories


Mkutano Mkuu wa wanachama wa Nyaraka nchini Zimbabwe: Wajumbe wa Bodi ya Taasisi za Nyaraka na Kumbukumbu kutoka nchi za Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipokutana kwa Mkutano Mkuu wa wanachama wa nchi hizo uliofanyika mjini Victoria Falls nchini Zimbabwe tarehe 8-12 Juni 2015.
Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Taasisi za Nyaraka: Wajumbe wa Taasisi za Nyaraka Zanzibar na Tanzania Bara wakati walipokutana katika Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Taasisi za Nyaraka na kwa nchi za Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika. Mkutano huo uliofanyika mjini Victoria Falls nchini Zimbabwe kuanzia tarehe 8-12 Juni 2015.
Mhe Haroun Ali Suleiman amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa : Waziri wa nchi Ofisi ya Raisi kazi na utumishi umma Mh. Haroun Ali Suleiman, kulia ni kamishna wa kazi ndugu Kubingwa Mashaka Simba na kushoto ni ndugu Khamis Mwinyi Mohammed katibu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Zanzibar wakiwa katika mazungumzo ya pamoja ofisini kwake Shangani
: Washiriki wa makampuni ya mafuta Zanzibar wakisikiliza kwa makini mafunzo yaliyoandaliwa na kamisheni ya kazi.
MAFUNZO YA SHERIA ZA KAZI NA USALAMA KAZINI: Washiriki wa makampuni ya mafuta Zanzibar wakisikiliza kwa makini mafunzo yaliyoandaliwa na kamisheni ya kazi.
Uzinduzi wa chombo cha majadiliano: Waziri wa nchi ofisi ya Raisi kazi na utumishi wa umma Mh.Haroun Ali Suleiman(katikati), akiwa na wajumbe wa chombo cha juu cha kitaifa cha majadiliano katika mkutano wa ufunguzi wa chombo hicho uliofanyika katika ukumbi wa mikutano ofisini hapo Shangani.
Uzinduzi wa chombo cha majadiliano: Waziri wa nchi ofisi ya Raisi kazi na utumishi wa umma katika picha ya pamoja na wajumbe wa chombo cha juu cha kitaifa cha majadiliano, nje ya jengo la ofisi hiyo Shangani.


©2019 President's Office Constitution, Legal Affairs, Public Service and Good Governance