Govt. Logo

OFISI YA RAIS - UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

Govt. Logo

TANGAZO LA WITO WA USAILI KWA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI-ZANZIBAR

Posted: 2019-06-11 15:28:25
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia Vijana ambao wameomba nafasi ya kazi ya Ualimu wa Sanaa Kuanzia ngazi ya Cheti, Stashahada na Shahada ya Kwanza kufika kwenye usaili siku ya Jumapili ya tarehe 16 Juni, 2019 saa 2:00 za asubuhi katika Chuo cha Utawala wa Umma IPA - Tunguu Zanzibar.

Aidha, kwa wale wote walioomba nafasi ya kazi ya Ualimu wa Sayansi kwa ngazi ya Stashahada na Shahada ya Kwanza wanatakiwa kufika kwenye usaili siku hiyo hiyo ya Jumapili ya tarehe 16 Juni, 2019 saa 4:00 za asubuhi katika Chuo cha Utawala wa Umma IPA – Tunguu Zanzibar.

Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

Orodha wa majina hayo unapatika katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini Zanzibar kwa wale walioomba nafasi ya kazi ya ualimu wa sanaa.

Tangazo hili pia linapatikana katika Tovuti ya Wizara. www.utumishismz.go.tz

NB: Inasisitizwa kufuata wakati.

Contacts

Main Office
P.O.Box 3356
Zanzibar, Tanzania
Tel.: +255 024 2230038
Fax: +255 024 2230027
Mobile: +255 77 000000
Pemba Office
P.O.Box 112
Chake chake, Pemba
Tel.: +255 024 2452294
Fax: +255 024 2452291

Us

Home About Us Departments

External Links

IPA OCAG ZAECA