Govt. Logo

OFISI YA RAIS - UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

Govt. Logo

TANGAZO LA WITO KWA WIZARA/TAASISI MBALI MBALI - PEMBA

Posted: 2019-07-30 12:14:50
Tume ya Utumishi Serikalini inawaarifu wale wote walioomba nafasi za kazi katika Wizara/Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa upande wa Pemba kuwa usaili wa nafasi hizo utafanyika kuanzia tarehe 03 Agosti, 2019 hadi tarehe 09 Agosti, 2019 kwa utaratibu:-
1. 03/08/2019 - Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais usaili utafanyika skuli ya Fiedel-Kasro saa 2:00 asubuhi. Nafasi zenyewe ni:
• Afisa Uchunguzi na Udhibiti Daraja la II
• Afisa Utawala Daraja la II
• Afisa Habari Daraja la II
• Afisa Uhamasishaji Daraja la II
• Afisa Ufuatiliaji na Tathmini Daraja la II
• Mlinzi Daraja la III
• Afisa Utumishi Daraja la II
• Katibu Mukhtasi Daraja la III
• Tarishi Daraja la III
• Mwangalizi wa Ofisi Daraja la II
• Dereva Daraja la III

2. 04/08/2019 - Wizara ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo usaili utafanyika skuli ya Fiedel-Kasro saa 2:00 asubuhi.Nafasi zenyewe ni:
• Afisa Sheria Daraja la II
• Afisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Daraja la II
• Afisa Takwimu Daraja la II
• Afisa Ufuatiliaji na Tathmini Daraja la II
• Afisa Utamaduni Mkoa Daraja la III
• Afisa Utamaduni Wilaya Daraja la III
• Afisa Vijana Daraja la II
• Mtunza Ghala Daraja la III
• Karani Masjala Daraja la III
• Katibu Mukhtasi Daraja la III
• Dereva Daraja la III
• Tarishi Daraja la III
• Wahudumu Daraja la III
• Walinzi Daraja la III
• Score Board Operator Msaidizi Daraja la III
• Studio Operator Msaidizi Daraja la III
• Mwangalizi wa Ofisi Daraja la III
• Afisa Mipango Daraja la III
• Afisa Uratibu na Ufuatiliaji Daraja la II

3. 05/08/2019 - Wizara ya Habar, Utalii na Mambo ya Kale usaili utafanyika skuli ya Fiedel-Kasro saa 2:00 asubuhi.Nafasi zenyewe ni:

• Walinzi Daraja la III
• Afisa Sheria Daraja la II
• Afisa Takwimu Daraja la II
• Afisa Mipango Daraja la II
• Fundi P.A Daraja la III
• Afisa Uhuishaji Nyaraka Daraja la II
• Dereva Daraja la III
• Akiolojia Daraja la II
• Wahudumu Daraja la III
• Afisa Utalii Wilaya Daraja la II
• Afisa Utafiti Daraja la II
• Afisa Utalii Mkoa Daraja la II
• Afisa Utumishi Mkoa Daraja la II

4. 06/08/2019 - usaili utafanyika skuli ya Fiedel-Kasro saa 2:00 asubuhi. Nafasi zenyewe ni:

A. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
• Walimu wa Cheti Wilaya ya Micheweni
• Walimu wa Cheti Wilaya ya Wete
• Walimu wa Cheti Wilaya ya Chake Chake
• Walimu wa Sayansi Baraza la Mji
• Walimu wa Sanaa Baraza la Mji
• Karani Majenzi Daraja la III
• Karani Michirizi Daraja la III
• Walinzi Daraja III
• Karani Masjala Daraja la III
• Wauguzi Daraja la III
• Bwana/Bibi Shamba Daraja la III
• Daktari wa Mifugo Msaidizi Daraja la III


B. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.
• Walimu wa Shahada ya Kwanza Sayansi
• Walimu wa Shahada ya Kwanza Sanaa
• Maabara

5. 07/08/2019 - usaili utafanyika skuli ya Fiedel-Kasro saa 2:00 asubuhi. Nafasi zenyewe ni:
A. Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi
• Afisa Ugani Daraja la II
• Afisa Msaidizi Mzalishaji/Tiba Mifugo Daraja la II
• Wahudumu Mifugo Daraja II
• Walinzi Daraja la III
• Afisa Mtafiti Mifugo Daraja la II
• Afisa Msaidizi Mtafiti Mifugo Daraja la III
• Wahudumu Shama Daraja la III
• Afisa Uchumi Kilimo Daraja la II
• Daktari wa Kilimo Daraja la III
B. Wizara ya Fedha na Mipango
• Afisa Sheria Daraja la II
• Msaidizi Fundi Umeme Daraja la III
• Msaidizi Fundi Bomba Daraja la III
• Afisa Habari Daraja la III
• Afisa Takwimu Daraja la II

6. 08/08/2019 - usaili utafanyika skuli ya Fiedel-Kasro saa 2:00 asubuhi. Nafasi zenyewe ni:
A. Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana
• Afisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Daraja la II
• Bwana/Bibi Shamba Daraja la II
B. Shirika la Huduma za Maktaba
• Karani Masjala Daraja la III
• Wakutubi Wasaidizi Daraja la III

7. 09/08/2019 - Wizara ya Afya. Usaili utafanyika skuli ya Fiedel-Kasro saa 2:00 asubuhi. Nafasi zenyewe ni:
• Afisa Tabibu Daraja la III
• Muuguzi Daraja la III
• Afisa Tabibu Meno Daraja la III
• Afisa Mionzi Daraja la II
• Afisa Maabara Msaidizi Daraja la III
• Fundi Sanifu Maabara Daraja la III
• Afisa Lishe Daraja la II
• Special Gang Daraja la III
• Chemist Daraja la II
• Food Inspector Daraja la II
• Maintenance Calliboration Daraja la II
• Meat Inspector Daraja la II
• Wahudumu wa Afya

Contacts

Main Office
P.O.Box 3356
Zanzibar, Tanzania
Tel.: +255 024 2230038
Fax: +255 024 2230027
Mobile: +255 77 000000
Pemba Office
P.O.Box 112
Chake chake, Pemba
Tel.: +255 024 2452294
Fax: +255 024 2452291

Us

Home About Us Departments

External Links

IPA OCAG ZAECA