Govt. Logo

OFISI YA RAIS - UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

Govt. Logo

WITO WA USAILI WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO

Posted: 2020-01-24 09:21:02
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar kufika katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini siku ya Jumamosi ya tarehe 25 Januari, 2020 saa 2:00 za asubuhi.

Pia wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

VIJANA WENYEWE NI:

NAFASI YA AFISA UHUSIANO
NAMBA JINA KAMILI
1 IS-HAKA MUSSA HUSSEIN
2 HAJI KHAMIS ALI
3 FAKI ALI HAJI
4 RUKIA IS-HAKA NGWALI
5 IBRAHIM HAMIDU MAKAME
6 MOHD KHAMIS MOHD
7 YUSSUF MACHANO SALUM


NAFASI YA AFISA VIWANDA
NAMBA JINA KAMILI
1 SINAHAYO HAJI SINAHAYO
2 SULEIMAN MOHD ALI
3 ALLY MZEE ABDULRAHMAN


NAFASI YA ULINZI
NAMBA JINA KAMILI
1 ZENA HASSAN AMIRI
2 SOUD ABEID KHAMIS
3 MOHAMED ABDULLA JUMA
4 KHAMIS MOH'D ALI
5 ABRAHMAN JUMA RAJAB
6 ABDUL HALIM IBUNI HAMAD


NAFASI YA KARANI MASJALA
NAMBA JINA KAMILI
1 HADIYA MACHANO MUHIDINI
2 HASSAN HAMDU KHAMIS
3 IDDI ABDULLA JUMA
4 JUMA SALEH JUMA
5 KHADIJA ABDALLA KHAMIS
6 NACHOUM MUHAMADI ABDALLA
7 SAID MOHD KHAMIS
8 SALHA SALUM HAMZA
9 FATMA ABASS KHAMIS

Contacts

Main Office
P.O.Box 3356
Zanzibar, Tanzania
Tel.: +255 024 2230038
Fax: +255 024 2230027
Mobile: +255 77 000000
Pemba Office
P.O.Box 112
Chake chake, Pemba
Tel.: +255 024 2452294
Fax: +255 024 2452291

Us

Home About Us Departments

External Links

IPA OCAG ZAECA