Govt. Logo

OFISI YA RAIS - UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

Govt. Logo

WITO WA USAILI KATIKA SHIRIKA LA HUDUMA ZA MAKTABA

Posted: 2020-01-24 09:26:49
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Shirika la Huduma za Maktaba wanatakiwa kufika katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini siku ya Jumamosi ya tarehe 25 Januari, 2020 saa 2:00 za asubuhi.

Pia wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

VIJANA WENYEWE NI:

NAFASI YA ULINZI
NAMBA JINA KAMILI
1 MOHAMED ABDULLA JUMA
2 ABDU JAFAR ABDULBAR
3 MNGWALI ABUDURAZAK MNGWALI
4 IBRAHIM HAJI AME
5 FADHIL OMAR MMADI
6 ALI SAID KHAMIS


NAFASI YA MUANGALIZI WA OFISI
NAMBA JINA KAMILI
1 MUHARAM ABDULLA MOHAMED
2 MUSSA MUHSIN ABDALLA
3 SIMAI HAMOUD YAKUB
4 JAFFAR ALI OMAR
5 KHADIJA KHAMIS USSI

Contacts

Main Office
P.O.Box 3356
Zanzibar, Tanzania
Tel.: +255 024 2230038
Fax: +255 024 2230027
Mobile: +255 77 000000
Pemba Office
P.O.Box 112
Chake chake, Pemba
Tel.: +255 024 2452294
Fax: +255 024 2452291

Us

Home About Us Departments

External Links

IPA OCAG ZAECA