Govt. Logo

OFISI YA RAIS - UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

Govt. Logo

TANGAZO LA WITO WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI

Posted: 2020-02-06 12:39:31
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji kufika katika Kituo cha Kupikia Lami Kibele siku ya Jumamosi ya tarehe 08 Februari, 2020 saa 2:00 za asubuhi.

Pia wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

VIJANA WENYEWE NI:

NAFASI YA DEREVA
NAMBA JINA KAMILI
1 ABDUL-LATIF SOUD ABDALLA
2 ABDALAH JUMA ALI
3 ABUBAKAR ALI RAMADHAN
4 ABUU HARIDH KHAMIS
5 ALI OMAR ALI
6 ALI USSI KHAMIS
7 HASSAN ALI MOHAMED
8 IDDI HASSAN HASSAN
9 IDDI MOHD HASSAN
10 JUMA MOH'D ZUBEIR
11 MOHAMMED HAJI MTUMWA
12 MRISHO MTUMWA MRISHO
13 MUSSA RAMADHANI CHAKUPEWA
14 MZEE MAHMOUD MZEE
15 SAID SALEH IDD
16 SALUM KHAMIS SALUM
17 SHAMUHUNA S JUMA
18 SIMAI HAMAD SIMAI
19 SULEIMAN AKIDA KUNDI
20 YASIR VUAI AMEIR

Contacts

Main Office
P.O.Box 3356
Zanzibar, Tanzania
Tel.: +255 024 2230038
Fax: +255 024 2230027
Mobile: +255 77 000000
Pemba Office
P.O.Box 112
Chake chake, Pemba
Tel.: +255 024 2452294
Fax: +255 024 2452291

Us

Home About Us Departments

External Links

IPA OCAG ZAECA