Govt. Logo

OFISI YA RAIS - UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

Govt. Logo

TANGAZO LA USAILI KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIB -ZANZIBAR

Posted: 2020-02-13 15:19:58
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi kwenda kuangalia majina yao katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini Zanzibar kuanzia siku ya Alkhamis ya tarehe 13 Februari, 2020.

Kwa wale ambao watabahatika kuona majina yao wanatakiwa kufika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar kwa ajili ya kufanyiwa usaili siku ya Jumamosi ya tarehe 15 Februari, 2020 saa 2:00 za asubuhi.

Wasailiwa wote wanatakiwa wachukue vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.


Vijana wenyewe ni kama ifuatavyo:


NAFASI YA KAZI YA AFISA MICHEZO

NO JINA KAMILI JINSIA
1 KHALILLAH VUAA KHATIB F
2 ISSA ALI MATLUB M
3 SAMIRA KOMBO YUSSUF F
4 AMNE KHAMIS ALI F
5 UMMU-NUR MOHAMMED KHEIR F
6 ALI SAID MUSSA M
7 MWAWANU SIJEE KOMBO F
8 JUWEIRIYA ALI SULEIMAN F
9 SALAMA ALI JUMA F
10 AMNE MCHANGA KHAMIS F
11 AMOUR HUSSEIN SEIF M
12 FATMA MOHAMED KHAMIS F
13 SALAMA HARITH YAZID F


NAFASI YA KAZI YA ULINZI

NO JINA KAMILI JINSIA
1 ABDULHAMID HAJI HASSAN M
2 HASSAN AME HAJI M
3 HAFIDH HAJI HASSAN M
4 SALAMA ABDALLA HAJI F
5 AMINA MZEE HAJI F
6 MUSSA BAKARI SAID M
7 RASHID SHAIBU RASHID M
8 MUHAMADI HAJI KHAMIS M
9 ATHUMANI HAJI KHAMIS M
10 IS-HAKA HASHIM IS-HAKA M


NAFASI YA KAZI YA KATIBU MUKHTASI

NO JINA KAMILI JINSIA
1 MARYAM SALIM ALI F
2 ZUHURA HASSAN NOMAN F
3 BIMPYA HAMED OTHMAN F
4 URADI ALI MAKAME F
5 MWACHUM MAKAME HASSAN F
6 SHARIFA JUMA ALI F
7 KUDURA HIJA NYANGE F
8 FATMA MOHAMED JUMA F
9 ASYA KASSIM ABDUL-MALIK F
10 SALAMA HUSSEIN MTUMWA F
11 RAUHIYA RASHID NDEREMO F
12 AMRIYA LEONARD KILAVE F
13 SNEYUU MTUMWA MACHANO F
14 NAJMA KASSIM JUMA F

Contacts

Main Office
P.O.Box 3356
Zanzibar, Tanzania
Tel.: +255 024 2230038
Fax: +255 024 2230027
Mobile: +255 77 000000
Pemba Office
P.O.Box 112
Chake chake, Pemba
Tel.: +255 024 2452294
Fax: +255 024 2452291

Us

Home About Us Departments

External Links

IPA OCAG ZAECA