Govt. Logo

OFISI YA RAIS - KATIBA SHERIA UTUMISHI NA UTAWALA BORA

Govt. Logo

TANGAZO LA WITO WA USAILI WIZARA YA ARDHI,MAENDELEO NA MAKAZI - ZANZBAR

Posted: 2021-10-13 11:27:37
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao waliyoomba nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Unguja na Pemba kwa kada zifuatazo:-
1. Afisa Mpimaji Ardhi
2. Afisa Ardhi
3. Afisa Mkadiriaji Majengo
4. Afisa Mipango Miji
Kuwa usaili wa ana kwa ana utafanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 16 Oktoba, 2021 saa 3:00 asubuhi katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, - Maisara.

Wasailiwa wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.
Orodha ya waliokidhi vigezo kufanya usaili huo kama yafuatayo.

AFISA MIPANGO MIJI DARAJA II

NO JINA KAMILI JINSIA
1 AWATIF ABUBAKAR ABDULRAHIM F
2 HALIMA ABBAS MAKAME F
3 HANIF ALI HASSAN M
4 IMRAT AYOUB MOHAMMED F
5 MAKAME AME HAJI M
6 MARY ELIAS MAGETA F
7 SALEHE HAMISI M
8 UPENDO MATHIAS KAHYOLO F


AFISA MPIMAJI ARDHI DARAJA II

NO JINA KAMILI JINSIA
1 AHMED SILIMA VUAI M
2 ASHA SAID ABDULRAHMAN F
3 AWESI SHARIFF KOMBO M
4 ILHAM MWADINI ABASS F
5 KASSIM TALIB KHATIB M
6 ZUWENA ABEID FADHIL F


AFISA MKADIRIAJI MAJENGO DARAJA II

NO JINA KAMILI JINSIA
1 ASHA AHMED CHWAYA F
2 FATUMA JUMA F
3 WAZIRI YUSUPH SAID M
4 YUSUF JUMA YUSUF M


AFISA ARDHI DARAJA II

NO JINA KAMILI JINSIA
1 ASHA HAMAD HASSAN F
2 FATUMA HASSAN NGORO F
3 RAUHIYA HAMIDU ALI F
4 SALIM MOH'D HAMAD M
5 SUMAIYA MASOUD HAMAD F


• Ubao wa matangazo Sheria House Mazizini Unguja
• Tume ya Utumishi Serikalini Pemba.

Contacts

Main Office
P.O.Box 3356
Zanzibar, Tanzania
Tel.: +255 024 2230038
Fax: +255 024 2230027
Webmail: info@utumishismz.go.tz
Website: www.utumishismz.go.tz
Pemba Office
P.O.Box 112
Chake chake, Pemba
Tel.: +255 024 2452294
Fax: +255 024 2452291

Us

Home About Us Departments

External Links

IPA OCAG ZAECA EGOZ MUFTI