Govt. Logo

OFISI YA RAIS - KATIBA SHERIA UTUMISHI NA UTAWALA BORA

Govt. Logo

TANGAZO LA USAILI WA ANA KWA ANA KWA FUNDI SANIFU MADAWA NA WAUGUZI WIZARA YA AFYA

Posted: 2022-05-11 14:55:09
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana waliyoomba nafasi ya kazi ya Uuguzi na Fundi Sanifu Madawa katika Wizara ya Afya Unguja kuhudhuria katika usaili wa ana kwa ana ambao utafanyika kwa utaratibu ufuatao:-

WAUGUZI:
Usaili utafanyika Hospitali ya Kidongo Chekundu saa 2:00 asubuhi na utakuwa kama ifuatavyo:-

Siku ya Jumamosi ya tarehe 14 Mei, 2022 usaili utakuwa kwa wasailiwa wa Mkoa wa Mjini Magharibi (Wilaya ya Mjini, Magharibi ‘A’ na Magharibi ‘B’).

Siku ya Jumapili ya tarehe 15 Mei, 2022 usaili utakuwa kwa wasailiwa wa Mkoa wa Kaskazini na Mkoa wa Kusini – Unguja.

FUNDI SANIFU MADAWA:
Usaili utafanyika katika Bohari ya Dawa Hospitali ya Mnazi Mmoja saa 2:00 asubuhi na utakuwa kama ifuatavyo:-

Siku ya Jumamosi ya tarehe 14 Mei, 2022 usaili utakuwa kwa wasailiwa wa Mkoa wa Kusini na Mkoa wa Kaskazini – Unguja.

Siku ya Jumapili ya tarehe 15 Mei, 2022 usaili utakuwa kwa wasailiwa wa Mkoa wa Mjini Magharibi (Wilaya ya Magharibi ‘A’ na Magharibi ‘B’).ANGALIZO:
Wasailiwa wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi na Leseni.

Orodha ya waliokidhi vigezo vya kufanya usaili huo ni hii ifuatayo.

WAUGUZI WILAYA YA MJINI

KITUO CHA AFYA MPENDAE
NO. JINA KAMILI JINSIA
1 ARAFA SALUM HAMAD F
2 ASMAHANI MANSOUR HAJI F
3 AWATIF ABDALLA AMOUR F
4 DHUL-HULAIFAT HAJI MAKAME F
5 FATHIYA SULEIMAN SALUM F
6 FATMA AMOUR ALI F
7 HALIMA ABDULLA MOHAMED F
8 HUSNA HUMAID HAMOUD F
9 IBARAHIM MUHSIN ALI M
10 IBRAHIM HUSSEIN MGENI M
11 ILHAM ALI KASSIM F
12 OMAR SALUM BAKAR M
13 SALHA HASSAN ALI F
14 SUHAILA SIASA SALUM F
15 SUMAIYA MOH'D MOH'D F
16 YUSSRA OMAR HAJI F
17 YUSSUF SALIMU SAID M
18 ZULFA OMAR KHALFAN F

KITUO CHA AFYA SEBLENI
NO. JINA KAMILI JINSIA
1 HUDHAIMA KHAMIS SULEIMAN F
2 JOKHA ABDULRAHMAN JUMA F
3 KHADIJA BURHAN HAJI F
4 NADYA MOHAMED ALI F
5 NARMIN MUSSA ALLY F
6 RUKIYA SIBABU SILIMA F
7 SALHA ABDULLA HAJI F
8 ZAINAB KHAMIS HUSSEIN F


KITUO CHA AFYA MWEMBELADU
NO. JINA KAMILI JINSIA
1 AMINA HAJI BILALI F
2 ASHA ABDALLA MOHAMED F
3 HAFSA FATAWI HAJI F
4 HASSINA MASOUD JUMA F
5 JOKHA SULEIMAN SEIF F
6 KHADIJA BURHAN MBEZI F
7 KHADIJA MOHAMED ALI F
8 KHUDHAIMA MAKAME AMEIR F
9 LUTHAINA ALI SLIM F
10 MARIAM RASHID SULEIMAN F
11 MARYAM ABDALLA HAJI F
12 MARYAM ALI MUSSA F
13 MARYAM SHAABAN OTHMAN F
14 NURU NYANGE MAKAME F
15 RAYA SALUM SULTAN F
16 SALHA AMOUR MOHAMMED F
17 THANIA ALI VUAI F
18 UMUKULTHUM KHAMIS NASSOR F

WAUGUZI WILAYA YA MAGHARIBI A

KITUO CHA AFYA SELEM
NO. JINA KAMILI
1 ALLIYA HAMYAR ALI
2 AMINA HAJI ENEANI
3 AMINA OTHMAN MOHAMED
4 MWANAKHAMIS MUHAMED KHATIB
5 SABIHA ABDI AHMADA
6 SAHIYA SAID ALI

KITUO CHA AFYA BUMBWISUDI
NO. JINA KAMILI
1 AME HUSSEIN ABDULLA
2 GHANIMA MOHAMED ALI
3 MWANAISHA ABDI AME
4 SAID FAUSTIN BLAND


KITUO CHA AFYA MTOFAANI
NO. JINA KAMILI
1 HIDAYA KHALFAN MOH'D
2 IS-HAKA ZUBEIR HASSAN
3 MWAJUMA ALI ADAM
4 MWANACHE SHEZUME FAKI


WAUGUZI WILAYA YA MAGHARIBI B

KITUO CHA AFYA CHUKWANI
NO JINA KAMILI
1 ABDL-LATIFF SULTAN NASSOR
2 ABDULSHAKUR SEIF ABDULMAJID
3 ABUBAKAR HASSAN OMAR
4 AHMED AYOUB RASHID
5 AISHA MASOUD SHEIKH
6 AZIZA YUSSUF KIROBO
7 FATMA HAMZA KHAMIS
8 HAFIDH AMOUR HASSAN
9 HIDAYA SAID MALIK
10 MOHAMED HAMAD ALI
11 THANIA HAJI ABDULLA
12 WAHIDA IBRAHIM MOHAMED
13 ZENA HIJA ALMASI


KITUO CHA AFYA MAGOGONI
NO JINA KAMILI
1 ABDULHAKIM HASSAN MAKAME
2 ALI FADHIL OMAR
3 AMINA KHALFAN ALI
4 AMINA RAMADHAN HAJI
5 HAMISA ALI BAKARI
6 HANNAN NASSOR SALEH
7 HUSNA ALY ABDALLA
8 KHADIJA MBWANA OTHMAN
9 SHADIA OMAR ALI
10 ZUHURA HAMZA SHAABANKITUO CHA AFYA FUONI
NO. JINA KAMILI
1 ABDALLAH GHARIB HASSAN
2 AISHA KHAMIS BAKAR
3 AMINA JUMA OMAR
4 ASHA HAMAD SALUM
5 ASHRAK MOHAMED JUMA
6 ASYA ABDULKADIR AHMED
7 AZIZA NASSOR AMIR
8 FAT-HIYA ABEID IDRISA
9 FATMA ABDULLA SALUM
10 FATMA SALEH HASSAN
11 HANIFA RASHID ABASS
12 HUDHAYYMA NADIN OMAR
13 IFADAT RAMADHAN ALI
14 IL-HAM MASOUD DUCHI
15 KHADIJA ALI TWAHA
16 KHALILA RASHID KHAMIS
17 KULTHUM SALIM MUSLIM
18 LEMI AMOUR ABDULLA
19 MARYAM SAID MUSSA
20 MUNAWAR THANI ALI
21 MUNAW-WAR MOHAMED KHATIB
22 MWANAHAWA SHABANI SALUM
23 MWANAMKASI SHARIF MAALIM
24 NADHIFA SILIMA YAHYA
25 NASSRA TALIB MOHAMED
26 OMAR KHAMIS HAMAD
27 RAJAB IS-HAKA OMAR
28 RAMLAT SAIDI MOH'D
29 SAFUKANI ALI MKWAJU
30 SALMA ABDULRAHMAN SALEH
31 SUHAILA HUMOUD KHALID
32 TAHIYA MWALIM USSI
33 THANIA MBWANA SULEIMAN
34 YUSSUF MUSSA ALI


WAUGUZI WILAYA YA KUSINI

KITUO CHA AFYA JAMBIANI PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 BAKARI HASSAN JONGO
2 ISSA SEIF ISSA
3 NASSOR SULEIMAN MUAZIN


KITUO CHA AFYA MUYUNI PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 SAHIA HAJI ABDALLA

WAUGUZI WILAYA YA KATI

KITUO CHA AFYA MWERA PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 AISHA MUNIR ISSA
2 FARIDA MAKAME JUMA
3 FATMA ALI OMAR
4 LIYUTHAR SULEIMAN MOHAMED
5 LUTFIA SAID ABDALLA
6 MAIMUNA HAJI KOMBO
7 MUHIDIN AHAMADA MUHIDIN
8 MWANAKHEIR NASSOR SALUM
9 RADHINA PAZI MOHAMED
10 SHINUNA HEMED HAMAD
11 TALHIYA TALIB MUSSA
12 WARDA SAID SULEIMAN

KITUO CHA AFYA UZINI PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 FAT-HIYA MUHAMAD ALI
2 IBRAHIM KHALID MOHAMED
3 LUKMAN ALI MOHAMED
4 MUDATHIR SALAH SALUM
5 SAID ALI ISSA
6 SUMAIYA AMOUR SAID
7 TATU JUMA SIMAI
8 UMMU-AYMAN JUMA HAMAD
KITUO CHA AFYA UNGUJA UKUU PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 ABDUL-AZIZ ILYAS MUHAMAD
2 ABDULHAMID MUHAMED OMAR
3 AMINA MAKAME AMEIR
4 FAT-HIYA HAMAD SAID
5 HUSNA SALEH RASHID
6 MWANAIDI ABDALLA SADI
7 OMAR HASHIM MAALIM
8 RASHID HILALI MOHAMED
9 RUKAYA AZZAD MOHAMED
10 SALUM SHAABAN SALUM
11 YUSRA AMEIR HAJIKITUO CHA AFYA KIDIMNI
NO. JINA KAMILI
1 FATMA AMOUR ALI HAMAD
2 HALIMA RAMADHAN AMEIR
3 MUDATHIR SULEIMAN MOH'D
4 MUSTAFA KHALID KITORORO
5 MWANAKHEIR NDAME MADAI
6 REHEMA HASSAN HAMISI
7 SALIM MKUBWA ALI
8 SEIF MOH'D MSABAH
9 ZAINAB SULEIMAN KHATIB

WAUGUZI WILAYA YA KASKAZINI A

KITUO CHA AFYA NUNGWI PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 AZIZA ALI KHATIB
2 FATMA HASSAN ABDALLA
3 KHADIJA JUMA SHEHA
4 MUSSA BAHASHA MUSSA
5 RAHMA HAJI MUSSA
6 SANIA SIMAI HAJI
7 WANU ALI HAJI
8 WANU KOMBO MOH'D

KITUO CHA AFYA MATEMWE PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 HAWA KHAMISI MACHANO
2 JABU SADIKI VUAI
3 JAMILA ALI RAMADHAN
4 NASRA VUAI MAABAD
5 RAHMA PANDU JECHA
6 SABRA ABDULLA KHAMIS

KITUO CHA AFYA TUMBATU GOMANI PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 SABRA KHEIR KHAMIS

KITUO CHA AFYA TUMBATU JONGOWE PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 MASOUD SAID HAJI
2 NASSOR JABIR KHAMIS

KITUO CHA AFYA KIJINI
NO. JINA KAMILI
1 MWACHUM KOMBO MASUR
2 SANIA JUMA MAKAME


WAUGUZI WILAYA YA KASKAZINI B

KITUO CHA AFYA BUMBWINI MISUFINI PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 ASHA KHALFAN MOHAMED
2 MARYAM HABIB MGENI
3 MOH'D JUMA MAKAME
4 SALAMA JUMA HASSAN
5 THUWAIBA ABDALLA MANSOUR
6 THUWAIBA SULEIMAN ABDULLA
7 ZAINABU MOH'D MAKAME
8 ZUWENA MOHAMMED KHAMIS

KITUO CHA AFYA MAHONDA PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 AMINA HASSAN AMEIR
2 HILFAT BAKAR BURHAN
3 RAHMA MUHSIN MOH'D
4 SALLAHI ALI MOH'D

KITUO CHA AFYA KITOPE PHCU+
NO. JINA KAMILI
1 AWESU JUMA MOH'D
2 HUDNA JUMA HAJI
3 ILHAM MAULID ALI
4 KHARIA MWINYI USSI
5 RABIA KITWANA MAKAME
6 RUKIA AHMADA HASSAN
7 SAMIRA HAJI ALI
8 TALHA MUSSA MAKAME
9 WASILA HASSAN JUMA


FUNDI SANIFU MADAWA WILAYA YA KUSINI

KITUO CHA AFYA JAMBIANI PHCU+
NAM JINA KAMILI
1 MOHAMED HAJI ALI

FUNDI SANIFU MADAWA WILAYA YA KATI

KITUO CHA AFYA MWERA PHCU+
NAM JINA KAMILI
1 ABDULLY ADAM SAHAYA
2 ABDULWAJIH WALID FIKIRINI
3 ABUBAKAR KASSIM MOHAMED
4 ADIL AMIR KASSU
5 AISHA ABDALLA MCHA
6 AISHA HAJI FOUM
7 AISHA KHAMIS MALIK
8 ALI KHAMIS SAID
9 AMINA FAKI KOMBO
10 ASHA ALI KASSIM
11 HUDHAIFAT KHALFAN KHAMIS
12 KHADIJA MOHAMMED SHAIB
13 KHAIRAT HAROUB SAID
14 LATIFA ALI ABDALLA
15 LIBNA ALI SULEIMAN
16 MWANAHAWA MUSSA KHAMIS
17 NASIR SAID MOHAMED
18 NASRA YUSSUF MOHAMED
19 RASHID ALI JUMA
20 RIZIKI ABDALLA ABASS
21 SAID JUMA NAIMU
22 SALAMA AME ZUBIR
23 SALHA MOHAMED ALI
24 SALUM SEIF SULEIMAN
25 SAPHIYA ALLY AZIZI
26 SAWADE OMAR HASSAN
27 SUMAIYYA JUMA BADRU
28 TAUHIDA MTUMWA KHATIB
29 YUNUSI ALI SULEIMAN
30 YUSSUF MAULID MUSSA

KITUO CHA AFYA UZINI PHCU+
NAM JINA KAMILI
1 AISHA NASSOR MWALIMU
2 FARHAT ABDALLA MTUMWA
3 ISMAIL ALI OMAR
4 JAMILA SADAKA ALI
5 MWANAHARUS IBRAHIM TABU
6 RUKIA SHABANI MANDOA
7 SALIM KHAMIS KOMBO
8 SUHAILA SAID MOHAMEDKITUO CHA AFYA KIDIMNI PHCU+
NAM JINA KAMILI
1 ABDALLAH JUMA SHARIF
2 ABDILAH MOHAMED ALI
3 ABDULBASHIR KHAMIS JUMA
4 ABUBAKAR ALI HEMED
5 AGHNA KHAMIS KASSIM
6 ALI IBRAHIM ALI
7 HAFSA MSABAH ABDI
8 HAJRA OMAR RASHID
9 HASANAT MAKAME JUMA
10 HUSEIN ALI MOHAMED
11 IDRISA ABDULWAKIL FADHIL
12 KHADIJA ABDALLA MOHAMMED
13 NAJMA KHALFAN MOHAMED
14 NASSOR RAJAB MBAROUK
15 RAHMA TENGA MTUMWA
16 RAYA ALI MOHAMEDI
17 SAFAA SALUM ALI
18 SHARIFA SHARIFU IDRISA
19 SHUFAA MOHAMMED ABDULLA
20 TATU MWADINI JUMA
21 THAMRA RASHID ZAMU
22 ZAINAB JABIR SULEIMAN
23 ZAINABU MOHAMED BAKARI


FUNDI SANIFU MADAWA WILAYA YA MAGHARIBI A


NAM JINA KAMILI
1 AISHA MOHAMMED ALI
2 AZMINA KHAMIS ALI
3 GHAILATY YUSSUF ABDRAHMAN
4 RASHIDA REMTULA KASSU

FUNDI SANIFU MADAWA WILAYA YA MAGHARIBI B

KITUO CHA AFYA FUONI
NAM JINA KAMILI
1 ABDULKARIM HAJI MUSSA
2 AHMED TWALIB MBARAKA
3 AISHA MOHAMED ABDULHABIB
4 ALI SALUM ABDALLA
5 BIMKUBWA ALI HAJI
6 FAHAD ZAHOR MOHAMED
7 FATMA AMOUR KHAMIS
8 FATMA HAJI KUTENGA
9 HANNAT MOHAMED AMEIR
10 ILYASA MAHMOUD ALI
11 ISMAIL MAULID AMAR
12 KAUTHAR OMAR KILLIANI
13 MARIYAM MWINYI HAJI
14 MARYAM SALUM SAID
15 MWANAID MKUBWA MOHAMMED
16 MWANANNA ABDALLAH SULEIMAN
17 NASSOR HAMAD SULEIMAN
18 NATASH MBAROUK SAID
19 RAHMA HASSAN BAKARI
20 SAID AMINI SAID
21 SAMIRA AMEIR KHAMIS
22 SHADIYA OMAR HAJI
23 SHAMIR ISSA VUAI
24 SULHIYA SALUM BADRU
25 SUMAIYA ABDILLAH SALEH
26 THAMRA ABDALLA KHALID
27 THUWAIBA SULEIMAN MKASI
28 YUNUS HAMAD MZEE
29 YUSRA ABDALLA OMAR
30 YUSSUF MOHAMED ALI
31 ZAYANA SAID AMEIR


FUNDI SANIFU MADAWA WILAYA YA KASKAZINI A

KITUO CHA AFYA NUNGWI PHCU+
NAM JINA KAMILI
1 ADILA ALLY KASSIM
2 JAMILA JUMA HAJI
3 SALEH JUMA IDRISA


KITUO CHA AFYA MATEMWE PHCU+
NAM JINA KAMILI
1 ASHA HAJI VUAI
2 HAJI JUMA KOMBO
3 HAMAD ALI KADIRIA
4 JAMALI SIMAI MGANGA
5 NASRA MOHAMED ABDALLAH
6 RAHMA JUMA KHAMIS
7 SWALHA FAKI ALI


FUNDI SANIFU MADAWA WILAYA YA KASKAZINI B

KITUO CHA AFYA MAHONDA PHCU+
NAM JINA KAMILI
1 AISHA KHAMIS SALEH
2 ASMA SADIK KOKE
3 FATMA HABIBU BAKARI
4 KAUTHAR ALI MWALIMU
5 KDADIJA ALI MOHAMED
6 KHADIJA ABDALLA MAKAME
7 LATIFA MOHAMMED MSELEM
8 MASTURA AMEIR JUMA
9 MOHAMED KHAMIS AME
10 MOZA SUBEIT ALI
11 NASRA ALI SAID
12 RAUHIYA NAWAWI KHAMIS
13 REHEMA SULEIMAN AMOUR
14 SALEH RASHID MASOUD
15 ZUWENA MOHAMMED ALI


Contacts

Main Office
P.O.Box 3356
Zanzibar, Tanzania
Tel.: +255 024 2230038
Fax: +255 024 2230027
Webmail: info@utumishismz.go.tz
Website: www.utumishismz.go.tz
Pemba Office
P.O.Box 112
Chake chake, Pemba
Tel.: +255 024 2452294
Fax: +255 024 2452291

Us

Home About Us Departments

External Links

IPA OCAG ZAECA EGOZ MUFTI