HAROUN /SAUDI ARABIA

News Photo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora, Mwalimu Haroun Ali Suleiman ameeleza kuridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Saudi arabia ambazo zimekuwa zikichangia kuimarika kwa uhusiano baina ya nchi hiyo na zanzibar .
Waziri Haroun ametoa tamko hilo wakati alipofanya mazungumzo na Waziri wa hijja na Umra Wa Sau. . . More...>>

Taarifa ya Utekelezaji wa majumusho ya Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora

News Photo Ofisi Raisi Katiba sheria Utumishi na Utawala bora imesema imelenga kutekeleza mipango mbali mbali ikiwemo mpango wa rasilimali watu na kuimarisha matumizi ya mifumo ya kieletroniki Ili kuimarisha utoaji wa huduma Bora kwa wananchi.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo kwa kipindi chà oktoba Hadi Disemba. . . More...>>

Waziri Haroun Azungumza na Ujumbe kutoka Oman

News Photo Oman imeahidi kuendeleza program mbali mbali zinazohusiana na maswala ya kiislam kwa kushirikiana na ofisi ya Mufti wa Zanzibar.
Tamko hilo limetolewa na Balozi mdogo wa Oman aliekuepo Zanzibar Nd. Said Salim Hemed Alsinawi wakati timu hiyo ya wataalamu ilipofanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawal. . . More...>>

Uzinduzi wa Kituo cha hospitali ya wazamiaji KMKM (Decompression Chamber)

News Photo Waziri wa nchi ofisi ya Rais Katiba Sheria utumishi na utawala Bora Mh Haroun Ali Suleiman amesema mpango wa kujenga hospitali ambayo ndani yake kuna kifaa cha kuokoa maisha watu wanaopata majanga ya kuzama baharini decompression chamber ), kutasaidia kupunga idadi ya vifo na majeruhi wanaopata majanga hayo.
Akiweka mawe ya msingi katika je. . . More...>>
Close
Close