TANGAZO LA NAFASI ZA MADAKTARI BINGWA NA MAABARA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

Posted: 2022-11-11 15:54:20
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Afya kama ifuatavyo:-

1.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la I katika fani ya Magonjwa ya Moyo (CARDIOLOGIST) ‘Nafasi 1’ - Unguja na 1 Pemba.
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya tiba ya moyo wa binadamu (cardiologist) kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili (2) ya kazi katika fani ya Cardiology.
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar

2.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la I katika fani ya Maradhi na Matatizo ya Mfumo wa Damu na Chembe Hai Zake (Hematologist) Nafasi 1’ - Unguja na 1 Pemba.
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya tiba za maradhi ya mfumo wa damu na chembe hai zake (Hematologist) kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili (2) ya kazi katika fani ya hematology.
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

3.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la I katika fani ya Orthopedic, ‘Nafasi 2’ -Unguja na 1 Pemba.

Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya tiba za mifupa na ajali (orthopaedic) kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili (2) ya kufanya kazi katika fani ya orthopedic.
Awe amesajiliwa na baraza la Madaktari Zanzibar.

4.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la I katika Fani ya Internal Medicine (Physician). Nafasi 1’ - Unguja na 1 Pemba.
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya Internal Medicine kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili ya kazi katika fani ya Internal Medicine
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

5.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la I Katika fani ya Upasuaji (General Surgeon). Nafasi 2’ - Unguja na 1 Pemba.
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya tiba za maradhi ya Upasuaji (General Surgery) kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili (2) ya kufanya kazi katika fani ya General surgery.
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

6.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la I katika fani ya Magonjwa ya Kina Mama (Obstetric and Gynacologist). Nafasi 1’ - Unguja na 2 Pemba.
Sifa za Waombaji:
 Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
 Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya Obstetric and Gynacology kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili (2) wa kufanya kazi katika fani ya Obstetric and Gynacology.
 Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

7.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la I Katika fani ya Magonjwa ya Mafigo (Nephrologis). Nafasi 1’ - Unguja na 1 Pemba.
Sifa za Waombaji:

Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhandisi Mitambo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya Magonjwa ya mafigo (Nephrology) kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili wa kufanya kazi katika fani ya Nephrology.
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

8.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la I katika fani ya Magonjwa ya Macho (Ophthalmologist) Nafasi 1’ - Unguja na 1 Pemba.
Sifa za Waombaji:
 Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).

 Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya Magonjwa ya macho (Ophthalmoloist) kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili wa kufanya kazi katika fani ya ophthalmology.
 Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

9.Daktari wa Binadamu katika fani ya Magonjwa ya Macho (OPTOMETRIST). Nafasi 1’ - Unguja na 1 Pemba.
Sifa Za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
Awe mwenye shahada ya kwanza au ya pili katika fani ya Magonjwa ya macho (Optometry) kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua mwaka mmoja wa kufanya kazi katika fani ya optometry.
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

10.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la I katika fani ya Magonjwa ya Tiba za Dharura (Emergency Physician). Nafasi 3’ - Unguja na 1 Pemba.

Sifa Za Muombaji:
Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya Emergency Medicine kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwil (2) wa kufanya kazi katika fani ya Emergency Medicine
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

11.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la I katika fani ya Maradhi ya Ngozi (Dermatologist). Nafasi 1’ - Unguja na 1 Pemba.
Sifa Za Muombaji:
Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya Dermatology kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili (2) wa kufanya kazi katika fani ya Dermatology
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

12.Daktari Bingwa Wa Binadamu Daraja la I Katika Fani ya Uchunguzi kwa Njia ya Mionzi (Radiologist). Nafasi 1’ - Unguja na 1 Pemba.

Sifa Za Muombaji:
Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.

Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya Radiolojia kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua mwaka mmoja wa kufanya kazi katika fani ya Radiology.
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

13.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la kwanza katika fani ya Maradhi ya Mfumo wa Mkojo (Urologist). Nafasi 2’ - Unguja na 1 Pemba.
Sifa Za Muombaji:
Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya Urology kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili (2) wa kufanya kazi katika fani ya Urology.
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

14.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la Kwanza katika Fani Ya Usingizi (Anaesthesiologist). Nafasi 3’ - Unguja na 1 Pemba.

Sifa Za Muombaji:
Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya Anaesthesia kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili (2) wa kufanya kazi katika fani ya Anesthesia.
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

15.Daktari Bingwa wa Binadamu Daraja la Kwanza Katika Fani ya Mishipa ya Fahamu (Neurologist). Unguja na 1 na 1 Pemba.

Sifa Za Muombaji:
Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
Awe mwenye shahada ya pili (uzamili) katika fani ya Neurology kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka miwili (2) wa kufanya kazi katika fani ya Anesthesia.
Awe amesajiliwa na baraza la madaktari Zanzibar.

16.Afisa Maabara Msaidizi Daraja La III. Nafasi 10 Unguja
Sifa za Muombaji:
Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
Awe mwenye Stashahada ya kawaida katika fani Maabara (Medical laboratory Technician) kutoka Katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali. 

Jinsi ya Kuomba:
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa Kielektronic wa maombi ya ajira (Zanajira) kupitia anuani ifuatayo:- http://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 12 Novemba, 2022 hadi tarehe 25 Novemba, 2022.

Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P. 1587,
ZANZIBAR.

 Muombaji anatakiwa kuanisha nafasi ya kazi aliyoombea

Kwa msaada wa kitalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini kupitia email: helpdesk@zanajira.go.tz au Simu Nam. 0773101012.
Close
Close