Taasisi za Wizara
Taasis Zinazojitegemea Zilizopo chini ya Wizara.
- Mahkama Kuu.
- Baraza la Mapinduzi.
- Tume ya Maadili ya Viongozi.
- Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali.
- Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.
- Kamisheni ya Utumishi wa Umma.
- Tume ya Utumishi Serikalini.
- Tume ya Utumishi wa Mahkama.
- Chuo cha Utawala wa Umma.
- Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
- Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka.
- Tume ya Kurekebisha Sheria.
- Kamisheni ya Wakfu na Mali Amana.