Waziri wanchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala bora Mhe Haroun Ali Suleiman amewataka maulamaa na wafanyakazi wa Ofisi ya mufti kuendelea kutoa elimu kwa jamii kwani ndio msingi mkuu utakao wasaidia wananchi .
Kauli hiyo ameitoa wakati akisikiliza taarifa ya utekelezaji katika ofisi ya mufti huko mazizini.
Alisema. . . More...>>
Waziri wanchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman Amesema muelekeo wa serikali upo katika kutatua migogoro kwa wawekezaji , hivyo ni vyema kusuluhishwa kabla kufika mahakamani
Kauli hiyo ameitoa wakati akifungua mkutano wa kimataifa wa utatuzi wa migogoro kwa wawekezaji huko katika. . . More...>>
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman amewataka wafanyakazi wa Mamlaka ya kuzuiya rushwa na uhujumu uchumi(ZAECA)kujiamini wakati wanapotekeleza majukumu yao,muhimu kuzingatia misingi ya kazi na kufuata sheria wakati wanapotekeleza kazi zao.
Hayo ameyaeleza wakati alipotembelea na kuku. . . More...>>
Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Machano Othman Said amewataka wakuu wa Taasisi kuhakikisha wanasimamia haki na wajibu kwa wananchi .
Ameyaeleza hayo wakati kamati walipokuwa wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora huko ofis. . . More...>>
Waziri wanchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman amewataka wafanyakazi wa Tume ya Utumishi Serikalini kufanya kazi kwa uaminifu , na uzalendo wa kuweza kudhibiti siri za serikali ambapo itapelekea kusimamia watumishi,na kuwafanya kuwa imara katika kazi zao.
Kauli hiyo ameitoa wakati alipotembelea ofis. . . More...>>
Waziri wanchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman amewataka watendaji kufanyakazi kwa uwajibikaji na uadilifu ili kuhakikisha utendaji wa kazi unaimarika katika taasisi zao.
Kauli hiyo ameitoa leo wakati alipotembelea Mahakama Kuu na Chuo cha Utawala wa Umma(IPA) Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja kwa nyakat. . . More...>>