Govt. Logo

OFISI YA RAIS - UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

Govt. Logo

TANGAZO LA USAILI WIZARA YA BIASHARA VIWANDA NA MASOKO

Posted: 2019-09-26 13:14:17
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi Wizara ya Biashara na Viwanda kufika katika usaili wa ana kwa ana utakaofanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 28 Septemba, 2019 saa 2:00 za asubuhi katika Chuo cha Utawala wa Umma – (IPA) Tunguu.

Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukua vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

• Inasisitizwa kufuata wakati.

WASAILIWA WENYEWE NI:

NAFASI YA MWANGALIZI WA OFISI
NO NAME
1 AZIZA AMOUR IDD
2 SADA JUMA ALI
3 LAILAT KHAMIS OTHMAN
4 MARYAM HALID ALI
5 HUBA SULEIMAN MOHD
6 HASSAN SALUM ABDI
7 RUKIA MIKIDADI MAKAME
8 SALHA JUMA SAID
9 ISMAIL MOHD ALI


NAFASI YA AFISA UHUSIANO
NO NAME
1 ISHAKA MUSSA HUSSEN
2 ABDALLA SABUR KHAMIS
3 PILI KHATIB MUSA
4 RAJAB HABIBU SALUM


NAFASI YA AFISA UTUMISHI
NO NAME
1 KHADIJA KHAMIS SAID
2 FATMA M AMOUR
3 FATMA HASSAN HAMAD
4 SALAMA HARDH YAZIDI
5 HAJI AME OMAR
6 ZULEKHA SULEIMAN ISSA
7 SALAMA ALI JUMA
8 RAMLA HAMAD NASSOR
9 ALI YAHYA ALI
10 HALILA VUAA KHATIBU
11 MUSTAFA KHAMIS SIMAI
12 NEMA RAMADHAN ALI
13 KHALID S BAKAR
14 AMNE MCHANGA KHAMIS
15 LAJIA TAHIR BAKAR
16 SUBIRA SULEIMAN ALI
17 SULEIMAN HALIFA SULEIMAN
18 THUWAIBA HAJI ALI
19 OMAR MJAWIR OMAR


NAFASI YA AFISA UFUATILIAJI NA TASMINI
NO NAME
1 MARYAM ALI JUMA
2 RASHID JUMA OMAR
3 SHAMTE SAID NGAUNE
4 SALEH MASOUD SALUM
5 KHAMIS HAROUN HAMAD
6 FATMA MAKAME KASSIM
7 MAKDALENA JOSEIF ASILIA
8 FARIDA A SIMAI
9 USSI ALI USSI
10 MUDRIKI NASSRI ALI
11 HALIMA SALUM KHAMIS
12 MARYAM ABUU JUMA
13 KOMBO JUMA KOMBO
14 SHARIH KHATIB FAKI
15 SULEIMAN HALIFA SULEIMAN
16 RESI ELIBARIK MRENA
17 FARID ABDALLA ALI
18 UMMI KASSIM HAMZA
19 SEIF ABDALLA SAID
20 MUHAMED JUMA MOHD

NAFASI YA AFISA HABARI NA MAWASILIANO
NO NAME
1 HAMAD MAKAME SAID
2 MASOUD SAID ABDALLA
3 MOHD KHAMIS
4 NUERA KHAMIS USS
5 OMAR MSELEM ABDALLA
6 SALHA IDRISAMAKAME
7 SHUWENA SEIF SALIM

Contacts

Main Office
P.O.Box 3356
Zanzibar, Tanzania
Tel.: +255 024 2230038
Fax: +255 024 2230027
Mobile: +255 77 000000
Pemba Office
P.O.Box 112
Chake chake, Pemba
Tel.: +255 024 2452294
Fax: +255 024 2452291

Us

Home About Us Departments

External Links

IPA OCAG ZAECA