TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI NA UTAWALA BORA NA TUME YA UTUMISHI SERIKALINI
Posted: 2023-03-14 15:08:42Tume ya utumishi Serikalini inatangaza nafasi nne (4) za kazi kwaajili ya Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora na nafasi moja (1) ya kazi kwa ajili ya Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini kama ifuatavyo:-
OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA
1.Afisa Usafiri (to) daraja la II (ZPSE –10) nafasi 1 Unguja
Sifa za waombaji
i.Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
ii.Mwenye Shahada ya kwanza ya usafirishaji (Logistic and Transport) au Usafiri Barabani (Road Transport) au Mhandisi Mitambo (Automobile Enginer) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
2.Afisa Ufuatiliaji na Tathmini daraja la II (ZPSG –08) Nafasi 1 Unguja
Sifa za waomabaji
i.Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
ii.Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Mipango au Uchumi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
3.Afisa Uhusiano daraja la II (ZPSE –10) Nafasi 1 Unguja
Sifa za waomabaji
i.Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
ii.Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhusiano wa Umma kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
4.Afisa Takwimu daraja la II (ZPSG – 08) Nafasi 1 Unguja
Sifa za waomabaji
i.Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
ii.Awe na Shahada ya kwanza katika fani ya Takwimu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
OFISI YA TUME YA UTUMISHI SERIKALINI
1.Afisa Takwimu daraja la II (ZPSG – 08) Nafasi 1 Unguja
Sifa za waomabaji
i.Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
ii.Awe na Shahada ya kwanza katika fani ya Takwimu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jinsi ya kuomba:
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa maombi ya ajira (Zanajira) kupitia anuani ifuatayo:- http://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 14 Machi, 2023 hadi tarehe 27 Machi, 2023.
Mfumo huo pia unapatikana katika tovuti ya Tume ya Utumishi Serikalini www.zanajira.go.tz.
Maombi yote yatumwe kwa anuani fuatayo:-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR
Muombaji anatakiwa kuanisha nafasi ya kazi aliyoomba.
Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini kupitia email: helpdesk@zanajira.go.tz au simu Nam. 0773 101012.
AHSANTENI.
Close
Close