TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OR-TAWALA ZA MIKOA NA WIZARA YA ARDHI

Posted: 2023-03-17 14:57:16
Tume ya utumishi Serikalini inatangaza nafasi tatu (3) za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ na nafasi sita (6) za kazi kwa ajili ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar kama ifuatavyo:-

OR - TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

1.Msanifu Majengo (ARCHITECTURE) Daraja la II (ZPSG - 08) nafasi 1

Sifa za muombaji
1.Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
2.Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Usanifu Majengo (Architects) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2.Wakadiriaji Majengo (QUANTITY SURVEY) DARAJA LA II ZPSG - 08 Nafasi 1

Sifa za muombaji
1.Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
2.Awe na Shahada ya kwanza katika fani ya Ukadiriaji Majengo (Quantity Survey) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
3.Afisa Uhusiano Daraja la II (ZPSE-10) Nafasi 1

Sifa za muombaji
1.Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
2.Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhusiano wa Umma kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
3.Uzoefu wa kazi ni sifa za ziada.

WIZARA YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAAZI ZANZIBAR
1.Msanifu Majengo Daraja la II (ZPSG - 08) Nafasi 1Unguja

Sifa za muombaji
1.Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
2.Awe na Shahada ya kwanza katika fani ya Usanifu Majengo (Architects) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2.Real Estate Management Daraja la II (ZPSG - 08) Nafasi 1 Unguja

Sifa za muombaji
1.Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
2.Awe na Shahada ya kwanza katika fani ya Usimamizi wa Majengo na Uwekezaji kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
3.Wakadiriaji Majengo (Quantity Survey) Daraja la II (ZPSG - 08) Nafasi 2 Unguja

Sifa za muombaji
1.Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
2.Awe na Shahada ya kwanza katika fani ya Ukadiriaji Majengo (Quantity Survey) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
4.Afisa Mthamini Daraja la II (ZPSG - 08) Nafasi 2 Unguja

Sifa za muombaji
1.Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
2.Awe na Shahada ya kwanza katika fani ya Land management and Valuation kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jinsi ya kuomba:
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa maombi ya ajira (Zanajira) kupitia anuani ifuatayo:- http://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 16 Machi, 2023 hadi tarehe 29 Machi, 2023.
Mfumo huo pia unapatikana katika tovuti ya Tume ya Utumishi Serikalini www.zanajira.go.tz.
Maombi yote yatumwe kwa anuani fuatayo:-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR
Muombaji anatakiwa kuanisha nafasi ya kazi aliyoomba.
Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini kupitia email: helpdesk@zanajira.go.tz au simu Nam. 0773 101012.

AHSANTENI.
Close
Close