MAFUNZO YA SHERIA ZA KAZI NA USALAMA KAZINI

news phpto

Kamishna wa kazi Ndugu Kubingwa Mashaka Simba akifungua rasmi mafunzo ya siku nne yanayohusu sheria za kazi katika ukumbi wa Mwanakwerekwe Z’bar

Washiriki kutoka makampuni ya mafuta Zanzibar wametakiwa kuyapa uzito mafunzo wanayopatiwa ili kujenga uelewa katika sheria za kazi na namna ya kukabiliana na majanga yanapojitokeza kazini.

Hayo yamezungumzwa na Kamishna wa kazi Ndugu Kubingwa Mashaka Simba wakati akifungua rasmi mafunzo hayo ya siku nne yaliyofanyika katika ukumbi wa Malaria Mwanakwerekwe.©2019 President's Office Constitution, Legal Affairs, Public Service and Good Governance