KUPIMA AFYA KWA WAFANYAKAZI OFISI YA RAIS KAZI NA UTUMISHI WA UMMA

news phpto

Jumla ya wafanyakazi 48 wa Ofisi ya Raisi kazi na utumishi wa umma wamejitokeza kupima afya zao ili kujitambua katika maradhi yasioambukiza yakiwemo presha, sukari, macho na uzito.

Mkurugenzi wa usalama na afya kazini Ndugu Suleiman Khamis(kushoto),Mkurugenzi wa uendeshaji na utumishi ndugu Bakari(katikati), na mshika fedha wa kamisheni ya kazi ndugu Kepteni Fadhil Ramadhan wakibadilishana mawazo baada ya kutoka kupima afya zao©2019 President's Office Constitution, Legal Affairs, Public Service and Good Governance