SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

OFISI YA RAIS KATIBA, SHERIA, UTUMISHI NA UTAWALA BORA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Mw. Haroun Ali Suleimanakizungumza na muft mkuu wa zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Mw. Haroun Ali Suleiman amesema Wizara imefanikiwa kufanya tathmini ya hali halisi ya utawala bora mwaka 2021 na kubaini kwamba uwelewa wa masuala ya utawala bora umeimarika katika mapitio sera ya utawala bora yaliyofanyika pamoja na kusimamia uanzishwaji wa sheria ya usimamizi wa majukumu ya kisheria. Amesema hayo huko ZBC alipozungumza na waandishi wa habari katika kampeni ya Miaka 4 ya Dk. Mwinyi ya mafanikio Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora.